SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WALIMU WANAOENDA KINYUME NA MAADILI

Na Barnabas kisengi Dodoma Serikali imesema haitavumilia kuwachukulia hatua baadhi ya walimu ambao watakwenda kinyume na maadili ya kazi zao huku ikiwataka walimu kufanya kazi kwa bidii kwakufuata viapo vyao vya kazi. Rai hiyo imetolewa  Machi 16Jijini Dodoma na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa( TAMISEMI),Angelah Kairuki wakati akifungua Mkuatano